Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament

Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament
kiungo : Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament

soma pia


Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament

Na Chalila Kibuda, Globu Jamii


TIMU ya Ngobanya imeibuka mshindi kati fainali ya May Day Tornament baada ya kuibamiza timu ya Lake Cement kwa bao 2 kwa moja katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Kimbiji kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika fainali hiyo ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni…. Alisema kuwa mpira wa miguu unaibua fursa kwa vijana katika kuonyesha kipaji na baadaye kujipatia kipato.

Amesema utaratibu unaofanywa na kiwanda cha Saruji cha Lake Cement ni mzuri katika kuwakutanisha katika mahusiano kati ya kiwanda na wananchi wanaozunguka kiwanda hicho.Nae Meneja wa Rasilimali Watu, Julieth Domel amesema wamekuwa na utaratibu wa kufanya mashindano kila mwaka katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi na maendeleo mazuri ikiwemo uboreshaji wa ligi hiyo.

Amesema kuwa katika mwaka ujao kutakuwa na maboresho ya ligi hiyo ikiwa na lengo la kuibua vipaji kwa wakazi wa Kimbiji .Afisa Uendeshaji na Mkuu wa Kiwanda hicho, Girdhari Jadhao amesema kuwa kama kiwanda ni wajibu kuwa karibu na wananchi wanaozunguka kiwanda hicho .

Kocha wa Timu ya Lake Cement, Azizi Senzey amesema kuwa wamekubali matokeo na watajipanga katika kipindi kingine katika kuchukua ubingwa.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Wangeslaus Lindi akizungumza katika fainali ya kati ya timu ya Ngobanya na Nyati iliyofanyika katika kiwanja cha Kimbiji, jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Wangeslaus Lindi akikagua timu ambazo zilikuwa katika dimba ya fainali zilizofanyika katika kiwanja cha Kimbiji.
Meneja wa Rasilimali Watu, Julieth Domel akizungumza kuhusiana na ufadhili wa Lake Cement katika mashindano mbalimbali ya kujenga ujirani mwema yaliyofanyika katika Uwanja wa mpira cha Kimbiji ,Jijini Dar es Salaam.
Kocha wa timu ya Nyati, Aziz Senzey akizungumza kuhusiana na kushindwa kuibuka kidedea katika fainali kati ya Ngobanya na Nyati katika mchezo uliochezwa katika uwanja cha Kimbiji jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya watazamaji wa mashindano ya fainali kati ya Ngobanya dhidi ya Nyati, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kimbiji , jijini Dar es Salaam. 
Mashindano ya kamba katika fainali za mpira wa miguu yaliyofanyika uwanja wa Kimbiji


Hivyo makala Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament

yaani makala yote Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/timu-ya-ngobanya-yaibuka-mshindi-wa-may.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament"

Post a Comment