title : UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA.
kiungo : UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA.
UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Dodoma kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika jukwaa kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.
Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.
James Katubuka Mwanamyoto
Afisa Habari
Ofisi ya Rais-UTUMISHI
Hivyo makala UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA.
yaani makala yote UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/utumishi-yaadhimisha-siku-ya.html
0 Response to "UTUMISHI YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MWAKA 2018 KWA KUJUMUIKA NA WAFANYAKAZI WENGINE JIJINI DODOMA."
Post a Comment