TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI

TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI
kiungo : TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI

soma pia


TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI

Na Dixon Busagaga,Moshi 

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) ,Prof, Faustine Bee ameshauri kuanzishwa kwa ujasiliamali wa Kiushirika utakao saidia wahitimu wa vyuo vikuu nchini kujipatia kipato na kuongeza kasi ya ukuzaji wa Uchumi kabla ya kupata ajira ya kudumu.

Katika maadhimisho ya siku hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mwl Nyerere uliopo chuoni hapo ,Prof Bee alitolea mfano, moja ya changamoto zilizopo kwa baadhi ya vyama vya ushirika kwa kukosa wataalamu wa kuweka vizuri hesabu ya vitabu vyao.

“Pamoja na juhudi hizi binafsi za kwenda kutengeneza ajira na kuanzisha ujasiliamali wa mtu mmoja mmoja ,ni vema sasa tuone namna ambavyo tutaanzisha ujasiliamali wa kiushirika kwa maana wahitimu wa chuo kikuu wanapo maliza waende kuanzisha vyama vya ushirka vya aina tofauti.”alisema Prof Bee.

“Kuna vyama vina shida ya uandishi wa hesabu wa vitabu vyao ,tupate ambao watakuwa wakifanya kazi hiyo na watakuwa wakijipatia pesa,lakini pia wapo wengine ambao wangeweza kuanzisha vyama vya ushirika vya aina tofauti ,vya fedha, vya mazao ,vya uvuvi, ili mradi viongeze kasi ya ukuzaji wa uchumi wetu na pia kutengeneza ajaira kwa atu wengine .aliongeza Prof ,Bee.

Maadhimisho ya siku hii yaliyofanyika katika ukumbi wa Mwl Nyerere uliopo chuoni hapo yalitanguliwa na maonesho ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na kuuzwa na wanafunzo wa chuo hicho pamoja na uwasilishaji wa mada ambapo mgeni rasmi katika tukio hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akaikumbusha menejimenti ya chuo sehemu ya wajibu wa chuo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira (katikati) akiwa ameongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) Prof, Faustine Bee ( mwenye tai) alipowasili chuoni hapo kwa ajili ya tukio la Career Day ,tukio ambalo Mghwira alikuwa mgeni rasmi .
Baadhi ya Wanafunzi na wageni mbalimbali waliohudhuria tukio la Career Day lililofanyika katika ukumbi wa Mwl Nyerere ,Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akizungumza wakati wa tukio la Career Day alipoalikwa kuwa mgeni rasmi ,tukio hilo limefanyika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) Prof,Faustine Bee akizungumza katika tukio hilo .
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo,Utawala na Fedha wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MOCU) Prof Freddy Kilima akizungumza wakati wa tukio la Career Day .
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Pro Faustine Bee wakifurahia kazi ya Sanaa ya uchoraji iliyofanywa na mwanafunzi wa Mwaka wa tatu wa Shahada ya Sheria katika chuo hicho ,Omega Lyimo .



Hivyo makala TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI

yaani makala yote TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tukio-la-career-daychuo-kikuu-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA WAAJIRI"

Post a Comment