Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru

Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru
kiungo : Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru

soma pia


Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru



Mwamba wa habari
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo Alhamisi Mei 31, 2018 amemkabidhi ofisi mrithi wake Dk Bashiru Ally, katika ofisi ndogo za chama hicho tawala, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Baada ya makabidhiano hayo, wawili hao wameingia katika kikao cha ndani na wafanyakazi wa chama hicho.

Dk Bashiru anakuwa Katibu Mkuu wa nane wa CCM baada ya kujiuzulu kwa Kinana aliyemuandikia barua mwenyekiti wa chama hicho, Rais John Magufuli aridhie ombi lake hilo.

Mei 29, 2018 Halmashauri Kuu, ambayo ni chombo cha pili kwa ukubwa cha CCM na ambayo ilikutana kwa siku mbili Ikulu jijini Dar es Salaam, ilimpitisha Dk Bashiru ambaye aliongoza kamati iliyohakiki mali za chama hicho kwa miezi mitano kuwa katibu mkuu mpya wa chama hicho.


Hivyo makala Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru

yaani makala yote Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kinana-akabidhi-ofisi-kwa-katibu-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kinana akabidhi Ofisi kwa katibu mpya Bashiru"

Post a Comment