title : SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Koplo, Yakobo kiwawa (kushoto) wakati akiingia katika Ofisi ya Uhamiaji leo Mjini Dodoma Kwa ajili ya kuchukuliwa alama za vidole ili kutengenezewa pasi/hati ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni walipotembelea Ofisi ya uhamiaji leo Mjini Dodoma kabla ya kuchukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa pasi ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akichukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa pasi ya kusafiria leo katika Ofisi ya uhamiaji Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Dodoma, Ndg. Edwin Mwasota (kulia) leo katika Ofisi za uhamiaji Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/spika-ndugai-atembelea-ofisi-za.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA UHAMIAJI LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment