Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni

Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni
kiungo : Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni

soma pia


Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni

Leo Ijumaa Mei 25, 2018 Spika wa Bunge Job Ndugai aliketi  eneo maalumu kwa ajili ya wageni ndani ya ukumbi huo akiwa sambamba na mgeni wake, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma.

Kikao cha Bunge kiliongozwa na mwenyekiti, Mussa Azzan Zungu ambaye alionyesha kushangazwa na kitendo hicho akidai ni jambo lisilo la kawaida.

Ndugai na mgeni wake walisimama kwa ajili ya utambulisho kama ilivyo kwa wageni wengine na kisha  kushangiliwa kwa nguvu na wabunge kabla ya kuondoka wakipitia mlango wa  wageni wa kawaida kisha wakazunguka kwenda ofisi ndogo ya Spika iliyopo nyuma ya ukumbi wa Bunge.
Tazama picha hapo chini 




Advertisement


Hivyo makala Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni

yaani makala yote Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/spika-ndugai-alivyokaa-viti-vya-wageni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Spika Ndugai Alivyokaa Viti vya Wageni na Kutambulishwa Kama Mgeni"

Post a Comment