title : Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma
kiungo : Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma
Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma
Washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa habari wakimsikiza Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stephano Cosmas akiwasilisha mada kuhusu hali ya malaria hapa nchini.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Said Ameir akiwasilisha mada kuhusu faida za uandishi wa habari unaotumia takwimu.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari za kitakwimu Bi Sharon Sauwa akisisitiza jambo wakati wa majadiliano ya washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bibi Beatrice Lyimo akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .
Meneja wa Takwimu Idara ya Kodi Bw. Fred Matola akisisitiza kuhusu umuhimu wa takwimu wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa habari.
Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bibi Phausta Ntigiti akiwasilisha mada kuhusu faida ya lugha ya kitakwimu na takwimu wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Takwimu ya Taifa
Hivyo makala Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma
yaani makala yote Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/siku-ya-pili-ya-mafunzo-ya-uandishi-wa.html
0 Response to "Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu kwa wanahabari mjini Dodoma"
Post a Comment