Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana

Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana
kiungo : Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana

soma pia


Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 53.8 kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ikiwa ni fedha kwa ajili ya Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu katika Halmashauri zote nchini ambazo zitagawiwa kwa njia ya mikopo kupitia vikundi mbalimbali.
Hayo yameelezwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kakunda alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Handeni, Mhe. Omar Abdallah Kigoda juu ya kiasi gani Serikali inasimamia suala la asilimia 5 ya mapato ya Halmashauri kwa ajili ya Vijana na Kinamama.
“Serikali imeendelea kuhakikisha Halmashauri zote nchini zinatenga asilimia 10 ya mapato yake kwa ajili ya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu. Katika mwaka wa fedha 2016/2017 jumla ya shilingi bilioni 56.8 zilitengwa na Halmashauri zote nchini, jumla ya shilingi bilioni 17.5 sawa na asilimia 31 zilitolewa kwa vikundi vya Wanawake na Vijana” amesema Mhe. Kakunda.
Kakunda ameendelea kusema kuwa, katika mwaka 2017/2018 jumla ya shilingi bilioni 15.6 sawa na asilimia 27 zilikuwa zimetolewa ambapo jumla ya vikundi 8,672 vya wanawake na vijana vilipatiwa mikopo.
Aidha amesema kuwa, ili kuongeza uwajibikaji katika kutenga na kupeleka fedha za mfuko wa Wanawake na Vijana kwa vikundi husika, Serikali itaweka utaratibu katika sheria ya fedha (Finance Bill) ya mwaka 2018/2019 utakaohakikisha kwamba Halmashauri zote zinatekeleza kikamilifu agizo hilo.


Hivyo makala Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana

yaani makala yote Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/serikali-yatenga-shilingi-bilioni-538.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali Yatenga Shilingi Bilioni 53.8 kwa Ajili ya Mikopo ya Wanawake na Vijana"

Post a Comment