title : SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA
kiungo : SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA
SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA
Serikali imekutana na wadau wa Maendeleo Jijini Dar es Salaam kujadiliana kuhusu utekelezaji wa Sera na Mipango ya kitaifa inayohusu masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 – 2021/22); utekelezaji wa mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi.
Akizungumza katika kikao kati ya Serikali na wadau hao Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga amesema Serikali imeamua kukutana na wadau ili kujadiliana na kupata maoni kuhusu utekelezaji wa Sera Mipango na mikakati ya Serikali katika masuala ya kijinsia ili kuweza kutekeleza kwa mafanikio masuala hayo.
Ameongeza kuwa Serikali inashirikiana na wadau wa Maendeleo kwa karibu ili kuwa na Mipango na mikakati ya pamoja ya kutekeleza masuala mbalimbali ya kijinsia ikiwemo kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto na uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi.
"Ni jambo la busara kuwashirikisha wadau wa Maendeleo katika masuala ya kimaendeleo ili kupeleke mbele kurudumu la maendeleo" alisisitiza Bi. Sihaba.
Katibu
Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga
akizungumza na wadau wa Maendeleo Jijini Dar es Slaam wakati wa
majadiliano kuhusu utekelezaji wa Sera na mipango ya kitaifa inayohusu
masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Vitendo vya
Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 – 2021/22); utekelezaji wa
mikataba ya kimataifa kuhusu kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa
wanawake kiuchumi. Kulia ni Mwakilishi wa UN Women nchini Bi. Susan
Steffen.
Mwakilishi
wa UN Women nchini Bi Susan Steffen akielezea Mipango ya Umoja wa
Mataifa katika kuwezesha masuala ya Kijinsia na uwezeshaji wa wanawake
kiuchumi wakati wa kikao kati ya Serikali na wadau wa Maendeleo Jijini
Dar es Slaam kujadiliana kuhusu utekelezaji wa Sera na mipango ya
kitaifa inayohusu masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa
Kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 –
2021/22) ; utekelezaji wa mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu
kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi. Kushoto ni
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba
Nkinga.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Atupele Mwambene akielezea
kuhusu utekelezaji wa Mipango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya
Wanawake na Watoto (2017/18 – 2021/22) (NPA) katika kikao kati ya
Serikali na wadau kujadiliana kuhusu utekelezaji wa Sera na mipango ya
kitaifa inayohusu masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa
Kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 –
2021/22) ; utekelezaji wa mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu
kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi.
Afisa
Maendeleo ya Jamii kutoka Idara ya Maendeleo ya Jinsia Bi.Dorah Neema
akielezea kuhusu masuala ya Kamisheni ya hali ya Wanawake (CWS) katika
kikao kati ya Serikali na wadau kuhusu utekelezaji wa Sera na mipango ya
kitaifa inayohusu masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa
Kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 –
2021/22) , utekelezaji wa mikataba ya kimataifa kuhusu kufikia usawa wa
kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi.
Hivyo makala SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA
yaani makala yote SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/serikali-yakutana-na-wadau-wa-maendeleo_17.html
0 Response to "SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA"
Post a Comment