title : RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI
kiungo : RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI
RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI
Na Leandra Gabriel, Blobu ya jamii
RAIS Mteule wa Urusi Vladimir Putin wa Chama cha Independent ameapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo baada ya kushinda Uchaguzi uliofanyika mapema Machi 18 mwaka huu.
Rais Putin anapata muda wa kuhudumu kwa mihula 4 zaidi, na amehudumu kama kiongozi wa Serikali kwa takribani miaka 18.
Katika uchaguzi huo Putin aliibuka na ushindi mnono wa zaidi ya asilimia 77 akiwamwaga Pavel Grudinin wa Communist party na Vladmir Zhirinovsky wa chama cha LDPR.Putin (65) alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuongoza Taifa hilo mwaka 2000.Ambapo alihudumu kwa mihula miwili na akachaguliwa kuwa waziri mkuu kwa muhula mmoja.
Baada ya kiapo hiki Vladimir Putin atahudumu hadi 2024.
RAIS Mteule wa Urusi Vladimir Putin
Hivyo makala RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI
yaani makala yote RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-vladimir-putin-wa-urusi-aapishwa.html
0 Response to "RAIS VLADIMIR PUTIN WA URUSI AAPISHWA RASMI"
Post a Comment