title : RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakishangilia baada ya kuwaita Ndg. Mizengo Pinda na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa kuwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Wajumbe wakishangilia baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli kuwaita Ndg. Mizengo Pinda na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa kuwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein akipendekeza majina ya wanachama wa CCM kutoka visiwani wataopigiwa kura kuwa wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukumbi wa Kikwete leo Jumatatu Mei 28, 2018
Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-na-mwenyekiti-wa-ccm-dkt-magufuli_28.html
0 Response to "RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment