title : Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20
kiungo : Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20
Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni amekabidhi vifaa vya michezo kwa Timu 20 zinazoshiriki ligi ya Masauni and Jazeera Cup.
Akizungumza wakati akikabidhi vifaa hivyo Masauni amesema michezo inajenga udugu kutokana na mkusanyiko wa watu mbalimbali.
Masauni amesema michezo kwa sasa ni ajira kwani wengine wataonyesha vipaji vyao na timu zikawaona na zikaweza kuingia nao mikataba.
Aidha amesema kwake ataona faida pale baadhi ya vijana watakaonyesha vipaji na timu zikawachukua.
Aidha amesema ataendelea kuwa bega kwa bega na vijana kwa kudhamini ligi mbalimbali zitaanzishwa katika jimbo la Kikwajuni
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Hamad Masauni akikabidhi vifa vya michezo jezi na Mpira kwa timu 20 zinazoshiriki ligi ya Masauni na Jazeera Cup katika Jimbo la Kiwajuni
Sehemu ya vifaa vya michezo.
Baadhi ya viongozi wa tumu mbalimbali wakiwa wameshika jezi za timu zao zinazoshiriki ligi ya Masauni na Jazeera Cup katika Jimbo la Kiwajuni
Hivyo makala Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20
yaani makala yote Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/naibu-waziri-masauni-akabidhi-vifaa-vya.html
0 Response to "Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20"
Post a Comment