title : PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM
kiungo : PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM
PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM
Katibu Mtendaji Dr. Rachel Makunde wa Kamati ya Uratibu wa Fedha za Mfuko wa Dunia kwa ajili ya Kudhibiti UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu (TNCM) akimweleza katibu Mkuu Ofisiya waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora jinsi kamati yake inavyoshiriki kuratibu masuala ya afya nchini kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia (Global Fund) ofisini kwake tarehe 30 Aprili, 2018 Jijini Dar es Salaam zilizopo katika Ofisi ya Tume ya Kuthibiti UKIMWI.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora akisisitiza jambo wakati akizungumza na Katibu Mtendaji Dr. Rachel Makunde wa Kamati ya Uratibu wa Fedha za Mfuko wa Dunia kwa ajili ya Kudhibiti UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu (TNCM) wakati alipofanya ziara fupi Ofisi kwao Dar es Salaam Tarehe 30 Aprili, 2018.
Hivyo makala PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM
yaani makala yote PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/profesa-kamuzora-atembelea-ofisi-za.html
0 Response to "PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM"
Post a Comment