NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI

NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI
kiungo : NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI

soma pia


NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika fainali ya kutafuta watangazaji watatu wenye vipaji  kati ya 30  itakayofanyika Mei 12 mwaka huu katika ukumbi Dar Live jijini Dar es Salaam.
Akizuungumza leo Dar es Salaam, Ofisa Uhusiano wa Times FM Radio, Flora Matthew  amesema walioshiriki katika shindano la kusaka vipaji walikuwa watu 1000 na baadae wamechujwa na kufikia 30 ambao wanaingia katika fainali ya kutafuta washindi watatu.

Amesema kuwa washindi hao watasomeshwa na radio hiyo kwa lengo la pata taaluma ya habari kutokana na sheria ya utangazaji inavyotakiwa. Frola amesema washiriki 27 wataobakia ni wazuri lakini mahitaji ya shindano ya watangazaji wa wenye vipaji ilikuwa inahitaji watangazaji watatu.

Fainali zitaambatana na burdani mbalimbali kwa wasanii ambao ni Barnaba Classic , Khadija Kopa, Country Boy, QBoy, Chemical  Whitnes na Ochu, Cheen Bees , Nchama , Enock Bella, Whozu , Kisamaki na Getu  wengine Young Tuso, Jovi , Mabantu , Orbit  na wengi ambao watakuwepo katika fainali hizo.

Amesema kiingilio cha fainali ya hizo ni sh. 5000 katika kuwashudia washindi watatu wataoibuka.
Ofisa Uhusiano wa Times FM Radio, Flora Matthew akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na fainali ya kusaka vipaji iliyokuwa inaendeshwa na radio hiyo leo jijini Dar es Salaam


Hivyo makala NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/naibu-waziri-juliana-shonza-mgeni-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA MGENI RASMI FAINALI YA KUSAKA VIPAJI VYA WATANGAZAJI"

Post a Comment