SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA

SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA
kiungo : SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA

soma pia


SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii 
SERIKALI imetangaza nafasi za ajira katika sekta ya afya 6,180 katika kuhakikisha kuwa upungufu wa watumishi wa kada ya afya inatatuliwa na kuimarika katika upatikanaji wa huduma bora ya afya nchini.
Akitangaza ajira hizo leo jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Tawala za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema watakapoajiriwa watumishi hao watapangiwa katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa kuzingatia uhitaji.
"Watumishi watakaoajiriwa katika sekta ya afya ni madaktari, wafamasia wauguzi , Tabibu pamoja na wahudumu wa afya.Wenye sifa za taaluma za afya wajitokeze kuomba nafasi hizo ili waweze kuajiriwa na kutoa huduma kwa wananchi,"amesema Jafo na kuongeza vigezo  vyote vya waombaji vitazingatiwa ili kutoa huduma bora za afya kutokana na taaluma walizosomea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Tawala za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati anatangaza ajira hizo.


Hivyo makala SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA

yaani makala yote SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/serikali-yatangaza-nafasi-zaidi-ya-6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA"

Post a Comment