Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezikiungo :
Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi
soma pia
Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwamba wa habari
Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania ALAT tawi la mkoa wa Mwanza imemtunuku cheti pamoja na fedha shilingi laki mbili, Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela John Wanga kwa ushiriki wake mzuri katika mikutano ya jumuiya hiyo.
Akizungumza jana kwenye mkutano wa ALAT wilayani Sengerema, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo mkoani Mwanza Hilal Elisha alisema Mkurugenzi Wanga ameongoza kwa ushiriki wa mikutano miongoni mwa wakurugenzi wa halmashauri zote.
Mkurugenzi Wanga alielekeza fedha alizokabidhiwa zinunue mchele kilo 200 kwa ajili ya wanafunzi wa shule maalumu za msingi Mitindo wilayani Misungwi pamoja na Itumbili wilayani Magu ambapo kila shule itapokea kilo 100.
Mkutano wa ALAT mkoani Mwanza ulifunguliwa na Mkuu wa Wilaya Sengerema Mwl.Emmanuel Kipole kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza ambapo alizitaka halmashauri kubuni vyanzo vipya vya mapato badala ya kulalamika kwamba baadhi ya vyanzo vyake ikiwemo kodi ya majengo vimehamishiwa Serikali Kuu.
Mwenyekiti wa ALAT mkoani Mwanza Hilal Elisha (wa pili kulia) akimkabidhi fedha Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela John Wanga (kushoto) zilizoambatana na cheti cha pongezi.
Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela John Wanga (kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi Manispaa ya Misungwi Eliurd Mwaiteleke ili kununua mchele kilo 100 kwa ajili ya wanafunzi wa shule maalum ya msingi Mitindo.
Hivyo makala Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi
yaani makala yote Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mkurugenzi-manispaa-ya-ilemela.html
0 Response to "Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela atunukiwa cheti cha pongezi"
Post a Comment