MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITIkiungo :
MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
Mwambawahabari
Hayo yamethibitika leo tarehe 17/05/2018 ambapo wataalam wa Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na wataalam kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa walipoamua kutembelea miradi ya maendeleo kujionea utekelezaji wake.
Katika ziara hiyo ambayo inatarajia kuchukua takribani siku tatu, ilianza na ukaguzi wa miradi minne.
Miradi ambayo ilitembelewa na kukaguliwa na wataalam hao ni mradi wa maji Kibwegere, ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Kibwegere, ujenzi wa matundu 12 ya vyoo vya wanafunzi shule ya sekondari Mbezi Inn na ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa shule ya sekondari Urafiki.
Katika ziara hiyo wataalam wa pande zote walipata fursa ya kujionea namna Manispaa kwa ujumla inavyotekeleza miradi yake kwa ufanisi kwa mwaka 2017/2018.
Timu kutoka Mkoani iliwaomba wataalam wa Halmashauri kuendelea na ufuatiliaji wa mara kwa mara ili fedha za serikali zisipotee. Vile vile walishauri kuongeza nguvu zaidi katika upimaji wa maeneo ya Umma na Taasisi.
Ziara hiyo inatarajia kuendelea hadi siku ya Jumamosi ya tarehe 19/05 ambapo miradi zaidi ya afya, elimu, maji na ujenzi itakaguliwa.
*IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO MANISPAA YA UBUNGO*
Hivyo makala MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
yaani makala yote MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/miradi-iliyo-bora-ni-ile-inayosimamiwa.html
Related Posts :
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2018. (Picha na… Read More...
Halotel yazindua laini mpya za watu mashuhuri (VIP).
-Ni laini zenye gharama nafuu Zaidi, hazihitaji kujiunga kifurushi
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel, kwa mara ya kwanza imezindua… Read More...
Taasisi ya Wanawake wa Kiislam Tanzania Yatoa Msaada wa Vyakula kwa Watoto Yatima Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake wa Kiislam Tanzania TAQWA Dkt.Salha Mohammed Kassim akizungumza na Wananchi na Walezo wa Watoto … Read More...
AAR YAPANDA MITI SHULENI KUSAIDIA UTUNZAJI BORA WA MAZINGIRAKampuni ya bima ya afya nchini ya AAR imepanda miti katika Shule ya Msingi ya Ushindi iliyoko eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa … Read More...
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2018. (Picha na… Read More...
0 Response to "MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI"
Post a Comment