MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA.

MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA.
kiungo : MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA.

soma pia


MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA.

Na John Luhende
 Mwambawahabari 
Mashindano ya michezo kwa shule za msingi UMITASHUMITA  katika Manispaa ya Ilala leo yanezinduliwa rasmi ambapo michezo ya ainambalimbaliitachezwa ili kupata wawakilishi wa Wilaya.

Akizungumza na  hadhara katika ufunguzi  wa michuano hiyo inayofanyika katika viwanja wa chuo cha Magereza Ukonga, Kaimu Kamishina wa Magereza Gideon Nkana , ameipongeza  timu za michezo zitakazoshiriki katika m chuo wa kupata timu ya Wilaya itakayowakilusha katika mashindano hayo kwa ngazi ya Mkoa  na kuwataka wanamichezo kuwa na nidhamu na kujibidisha ili waweze kutetea Ubingwa wao.

Aidha amesema, Taifa bila  Michezo hali wezi kujipambanua  nakuharakisha maendeleo kuelimu, kiuchumi, kijamii na Kiutamaduni hivyo pamoja na changamoto zilizopo michezo mashulleni hainabudi kuendelezwa na changamoto hizo ziweze chachu ya kuendeleza michezo.

"Hapa tunaondoka Kuna KLASTA nne nawaomba ni mchezo kwa nidhamu ya hali ya juu hapa ndipo mnatakiwa muonyeshe vipaji vyenu michezo ni ajira hapa ndipo m naweza kuendeleza vipaji vyenu na serikali itaendelea kuzifanyia kazi changamoto" . Alisema.

Amesema sekta ya Michezo inakabiliwa na changamoto ikiwemo ukosefu wa Viwanja  vya michezo na rasilimali fedha lakini Serikali ya awamu ya tano itaendelea kuzungumza  na kuboresha  baadhi ya mambo.

"Napenda niwajushe kuwa nimekubali kuwa mlezi wenu na Nina ahidi kushirikiana na viongozi wenu nanitawapa ushirikiano wa kutosha." Alisema.

Kwa upande wake Afisa Elimu msingi wa Manispaa ya Ilala Elizabeth  Thomas, amesema mashindano hayo yameandaliwa katika hatua ya mchujo na wamegawa katika KLASTA nne katika wilaya ili kurahisisha  kuwapata washindi watakao wakilisha Wilaya katika mashindano ya Mkoa.


















Hivyo makala MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA.

yaani makala yote MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mashindano-ya-umitashumita-wilaya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MASHINDANO YA UMITASHUMITA WILAYA YA ILALA YA ANZA RASMI, NIDHAMU NA KUJITUMA VYASISITIZWA."

Post a Comment