title : MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi Mdogo wa Ujerumani nchini Mhe. Jens Dominic Warth mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi Mdogo wa India nchini Mhe. T.C. Barubai mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbali mbali waliojumuika nae kwenye futari , Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/makamu-wa-rais-afutarisha-tunguu.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR"
Post a Comment