MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR.

MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR.
kiungo : MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR.

soma pia


MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kombo Faki Hamadi kutoka Pemba zawadi ya Shilingi milioni 4 baada ya kuibuka  kuwa mshindi wa kwanza wa Juzuu 30 katika Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama  Tanzania (Istiqaama Muslim Community of Tanzania), Seif Ali Seif. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quraan Tukufu yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania, Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akizungumza katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti  wa  Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama  Tanzania ( Istiqaama Muslim Community of Tanzania), Seif Ali Seif katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na baadhi ya viongozi wa  Taasisi na Jumuiya za Kiislam waliohudhuria katika Mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Qur-aan Tukufu  yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiquaama Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam,Mei 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Hivyo makala MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR.

yaani makala yote MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/majaliwa-ahutubia-na-kukabidhi-zawadi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI QU- RAAN TUKUFU JIJINI DAR."

Post a Comment