MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE

MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE
kiungo : MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE

soma pia


MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imetoa amri ya muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela sasa atumikie adhabu hiyo kwa kifungo cha nje.

Hivyo kuanzia sasa Lulu amebadilishiwa adhabu na anatumia kifungo hicho akiwa uraiani na tayari Jeshi la Magereza limethibitisha kupokea amri hiyo ya Mahakama Kuu.

Akizungumza kwa njia ya simu na Michuzi Blog iliyotakaka kupata ukweli wa taarifa hizo, Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini amethibitisha ukweli wa taaarifa za Lulu kubadilishiwa kifungo hicho na kusisitiza hiyo imetokana na amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania.

"Ni kweli ndugu zetu wa Michuzi Blog, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri hiyo na hivyo Lulu atatumia adhabu ya kifungo cha nje badala ya kukaa jela.Taarifa rasmi kuhusu Lulu tutaitoa kwa vyombo vya habari hapo baadae kwani tunaendelea kuiandaa lakini kwa kifupi,"amesisitiza Mboje.

Akifafanua zaidi Naibu Kamishna wa Magereza Augustino Mboje ni kwamba ielewe bado ni mfungwa wao na angeendelea kukaa jela hadi Novemba 12 mwaka huu ili kifungo chake kimepunguzwa kwa msamaha wa Rais. "Rais amempunguzia moja ya sita ya adhabu ya kifungo chake kwani ilikuwa atoke Machi 12 mwaka 2019."
Kwa mujibu wa Jeshi la Magereza ni kwamba hivyo Lulu atatumikia adhabu yake kwa kupangiwa kazi za kufanya za kijamii katika moja ya wilaya nchini na haijafahamika atapangiwa wilaya gani kutekeleza adhabu yake hiyo.

Kwa kukumbusha tuLulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kutiwa hatiani kwa kuua bila kukusudia msanii mwenzake Stiven Kanumba(marehemu).Kanumba alifariki saa nane usiku, mwaka 2012 baada ya kutokea mzozo kati yake yake na Lulu ambaye inaaminika walikuwa na uhisiano wa kimapenzi. Hivyo kitendo cha Mahakama Kuu ya Tanzania kutoa amri ya kubadilishiwa adhabu Lulu ya kutumia kifungo chake nnje kinatoa fursa kwake kupata auheni ya adhabu hiyo.


Hivyo makala MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE

yaani makala yote MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mahakama-kuu-yamtoa-lulu-gerezani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE"

Post a Comment