title : Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka
kiungo : Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka
Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Gladys Mtandila kutoka Makumbusho, Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promoshen hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00#.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Ramadhan Ali Ngolozi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Sakina Kassanga, askari polisi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00#
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni iliyoisha jana ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo ilitoa simu janja 1,080 kwa wateja wake, pamoja na bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wote walionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .
Hivyo makala Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka
yaani makala yote Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/maelfu-ya-wateja-wa-tigo-waendelea.html
0 Response to "Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni ya Nyaka Nyaka"
Post a Comment