title : Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C
kiungo : Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C
Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya DENNIS MWANGI aka PAPA DENNIS aliyepo chini ya record label ya MALIZA UMASIKINI katoa wimbo wake mpya alioufanya na mwanadada REHEMA CHALAMILA maarufu kama Ray C unaokwenda kwa jina la TORNADO ukimaanisha kimbunga cha mahaba Wimbo huu unazungumzia mapenzi ambayo anaependwa kazidiwa na mahaba hadi anahisi mapenzi yake ya nguvu kama kimbunga Video ya wimbo huu imetengenezwa nchini Afrika ya kusini na muongazji wa video maarufu sana anae kwenda kwa jina God Father Mbali wimbo huu PAPA DENNIS Amesha fanya nyimbo na vinara wengi wa muziki wa Africa akiwemo Mr Flavour (Nigeria) ,Chiddimna (Nigeria) ,Korode bello (Nigeria) na sasa RAY – C (Tanzania)
The song is now available in all platforms and the video is also on youtube
Youtube : https://www.youtube.com/channel/UCKPJmRtO6d0pc_Gf0DTDWsQ
Youtube : Maliza Umasikini
Instagram: @realpapadennis
Hivyo makala Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C
yaani makala yote Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/introducing-tornado-by-papa-dennic-ft.html
0 Response to "Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C"
Post a Comment