title : ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO
kiungo : ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO
ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii. (ESRF), Dkt. Tausi Kida (kushoto) na Profesa Kaushik Basu (katikati), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa asali , Fredy Swai , wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Abubakari Akida)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida, akimuelekeza jambo Profesa Joseph Stiglitz wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza bidhaa ya mafuta ya kupaka kwa kutumia malighafi ya mimea, Obed Musiba (kulia), akitoa maelezo juu ya bidhaa zake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida (aliyeshika losheni) na Profesa Joseph Stiglitz, wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida (katikati), akiwaongoza wageni kutembelea eneo la Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo(SIDO), ili kuweza kukagua shughuli za wajasiriamali wanaojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.Kulia ni Profesa Kaushik Basu na Kushoto ni Profesa Sabina Alkire, ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Abubakari Akida)
Hivyo makala ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO
yaani makala yote ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/esrf-yaratibu-ziara-ya-wataalamu-wa.html
0 Response to "ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO"
Post a Comment