title : DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU.
kiungo : DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU.
DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU.
Mwamba wa habari
Na John Luhende
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi wanaonufaika na mfuko wa kunusuru kaya masikini TASAF Manispaa ya Ilala kutumia vema pesa Wanazopata katika mpango huo na kuweka malengo ya kiuchumi.
Mheshimiwa Mjema Ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika katika kutembelea miradi ya maendeleo wilayani humo inavyotekelezwa na TASAF katika kata mbalimbali Wilayani Ilala.
"Ni singe penda kuona ninyi mnategemea TASAF kila mwaka ifike wakati (mgruate) mhitimu ili wasaidiwe na wengine, miradi yote inayobakishwa na TASAF muiendeleze isije ikiisha hewani."Alisema
Amewahimiza Wananchi hao kutojiweka katika hali ya unyonge bali wa bali wachangamkie miradi na kuifanya kwa moyo ili iwaletee mafanikio.
Aidha amewataka maafisa Ugani kuwasaidia wanachi wanaofanya kazi ya kulima bustani za mbogamboga kulima kitaalamu kuliko ilivyo hivi sasa ambapo wanalima kienyeji na kujikuta wakipata faida kidogo.
"Hongereni kwa kuwa mmefanyakazi lakini lakini huu si utaratibu mzuri wa kulima bustani na hii ni kazi ya maafisa Ugani naomba hawa wananchi wasiachwe hivihivi wasaidiwe walimu kisasa. Amesema
Kwa upandwe wao wanufaika wa miradi ya kunusuru kaya Masikini TASAF katika maeneo yaliyotembelewa ya Tabata Liwiti, Segerea, na Kitunda kati wameishukuru serikali na manispaa ya Ilala kwa kuwapa miradi yake kwani imewasidia katika kuendeleza maisha yao.
‘’Mimi nilikuwa nimejenga nyumba yangu haina bati , lakini kwa mradi huu wa TASAF jinni nilikuwa napata hiyo hela nimejiwekeza nikanunua magunia ya mkaa nikawa nauza na nikanunua mabati nikaezeka nyumba yangu vyumba viwili ,choochangu kika bomoka nashukuru mungu nikajiwekeza tena kwa hizi hela za TASAF nikachimba na nikajenga choo change hadi sasa najihifadhi.Alisema Mwana asia Biligenda mazi wa Liwiti.
‘’TASAF naishukuru sana mpaka hapa nilipofikia mimi nimejifunza ushonaji kutokana na hele ya TASAF nikaanza ushonaji na sasa nimenunua Mashine nashona mashuka nauza na kukopesha na wateja ninao sasa natafuta flemu ilinifungue ofisi yangu ya ushonaji nashukuru sana serikali .Alisema Zainabu Ausi.

Hivyo makala DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU.
yaani makala yote DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/dc-mjema-awataka-wanufaika-wampango-wa.html
0 Response to "DC MJEMA AWATAKA WANUFAIKA WAMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI ILALA , KUHITIMU."
Post a Comment