BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA

BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA
kiungo : BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA

soma pia


BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA



Benki ya CRDB leo imeendesha semina ya siku moja kwa Wanahisa wake, ili kuwajengea uwezo katika maswala ya Usimamizi wa Uwekezaji katika Hisa, Usimamizi wa Miradhi pamoja na Mabadiliko ya Sekta ya Kifedha na Athari za Sarafu za Digitali. Semina hiyo, imefanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akizunguza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa Wanahisa wa Benki ya CRDB, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifafanua jambo wa Wanahisa wa Benki hiyo, katika semina ya siku moja, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.


Mkufunzi na Mtaalam wa maswala ya Hisa kutoka REPOA, Dkt. Blandina Kilama akisisitiza jambo katika semina ya siku moja wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakati akiwasilisha mada yake iliyohusu Usimamizi wa Uwekezaji katika Hisa, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.





Grace Joachim kutoka Joachim and Jacobs, akiwasilisha mada ya Usimamizi wa Miradhi katika semina ya siku moja ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.


Mkurugenzi wa Hazina na Masoko ya Fedha wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akieleza jambo katika semina ya siku moja ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.

Balozi wa Denmark hapa nchini Einar Hebogard Jensen akifatilia semina ya wanahisa wa Benki ya CRDB, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Simba uliopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), jijini Arusha leo Mei 18, 2018.


































































































Hivyo makala BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA

yaani makala yote BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/benki-ya-crdb-yaendesha-semina-ya-siku_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA"

Post a Comment