title : Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo.
kiungo : Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo.
Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo.
WaziriwaUjenzi,MawaslianonaUsafirishaji Dk.SiraUbwaMwamboyaakishukaBotibaadayakumalizaziarayakeyakukaguaMnarawakuongozeaMeli. katikaziarahiyoWazirialijiridhishanakuruhusuujenziwaTangi la Majikuendelea
Waziri wa Ujenzi,Mawasliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa akitoa maelezo kwa Wanahabari mara baada ya kukaguwa Mnara wa kuongozea Meli uliodhaniwa kuwa utazibwa kutokana na harakati za ujenzi waTangi la Maji
Mnara wa kuongozea Meli uliopo Kilimani
KatibuMkuuWizarayaUjenzi,MawaslianonaUsafirishajiMustafa Abdu Jumbe(Mwenye Kaunda suti) akizungumzanaViongoziwaMamlakayaMaji Zanzibar wanaojengaMnarawaTangi la MajikaribunaMnarawakuongezeaMeli.
MkurugenziMkuuwaShirika laBandariCapteniAbdallaJumaAbdallaAkizungumzanaWaandishiwaHabaribaadakuangaliaMnarawakuongozeaMeli
MnarawakuongezeaMeliukionekanakwambaliambapoWaziri Dk.SiraaliruhusuujenziwaTangi la MajiunaonofanywakaribunaMnarahuokuendelea
MkurugenziwaMamlakayaMaji Zanzibar ( ZAWA): MussaRamadhani AliwaMamlakayaMaji Zanzibar akizungumzanaViongoziwaWizaray aUjenzi,MawaslianonaUsafirishajibaadayakutembeleaUjenziwaMnarawaTangi la MajikaribunaMnarawakuongezeaMeli. Picha Na Miza Othman. Maelezo - Zanzibar.
Na Miza Kona Maelezo-Zanzibar 20/04/2018
Shirika la Bandari Zanzibar limeruhusuMamlakayaMaji Zanzibar ZAWA kuendeleanaujenziwaTangi la majiambaohapoawaliulidhaniwaku zibaMnarawakuongozeaMeli.
Uamuzihuoumekujakufuatiaziarai liyofanywanaWaziriwaUjenzi, MawasilianonaUsafirishajiDktSi raUbwaMwamboyakuangaliaMnarahuowakuongozeaMeliuliopoKilimalinimjini Zanzibar.
Amesema ujenziwaTangi la Majiunaofanywakaribunaeneo laMnarahuowakuongozeaMeliimeba inikahauwezikuathiriutendajika ziwake.
“ Hapoawalitulikuwanawasiwasikuw aujenziwatangi la majiunaojengwana ZAWA utazibamnarawetulakinitumekwendakuangaliakupitiabaharinitumeonakuwaujenzihuohauathirimelizinzoingiabandarinihivyowanawezakumaliziaujenziwao”alielezaDktSira.
Amesemakwa vile hudumahiyoyamajinimuhimukwajam iinahaiathirihudumazabandariwa katiwauingiajiwameli, ZAWA wanahakiyakuendeleakuwapatiaWananchihudumahiyo.
NaeKatibuMkuuWizarahiyo Mustafa AboudJumbeamesemaMnarahuounata kiwauwepokatikaeneo la waziilikuziongozaMelizinazoing ianakutokakatikabandariyaMalindi.
Kwaupande wake MkurugenziMkuuMamlakayaMaji ZAWAMussaRamadhan Ali amesemaujenzihuoutaendeleabaad ayamaridhianonaWizarayaMawasil iano.
Amefafanuakuwaujenziwatangi la majinimradiwamajisafiwaMjiMkon gweambaoumefadhiliwanaShirika la Maendeleo la Afrika ADB ambapounatarajiwakumalizikaMwe ziAprili 2019.
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR
Hivyo makala Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo.
yaani makala yote Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/ziara-ya-waziri-wa-ujenzi-mawasiliani.html
0 Response to "Ziara ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Usafirishaji Mhe. Sira Afanya Ziara Kutembelea Idara za Wizara Hiyo leo."
Post a Comment