title : YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO
kiungo : YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO
YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO
Zainab Nyamka, Globu ya jamii
KIKOSI cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mechi ya Ligi Kuu Bara inayochezewa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mlinda mlango ni Youthe Rostand, namba mbili ni Hassan Kessy, namba tatu Haji Mwinyi, namba 4 Abdallah Shaibu, namba 5 Kelvin Yondani, namba 6 Papy Tshishimbi wakati namba 7 ni Yusuph Mhilu.
Namba 8 atacheza Raphael Daudi, namba 9 Obrey Chirwa, namba 10 Pius Buswita na namba 11 ni Ibrahim Ajibu
Wakati kikosi cha akiba
12 Ramadhani Kabwili, namba
13 Juma Abdul, namba
14 Nadir Haroub, namba
15 Said Makapu
16 Geofrey Mwashiuya
17 Emmanuel Martin
18 Juma Mahadhi.
Hivyo makala YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO
yaani makala yote YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yanga-yataja-kikosi-kitakachoanza-dhidi.html
0 Response to "YANGA YATAJA KIKOSI KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO"
Post a Comment