YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

soma pia


YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapteni mstaafu George Mkuchika akisisitiza kuhusu sheria inayotumika kutoa likizo kwa watumishi katika sekta ya umma na binafsi pale wanapojifungua.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuboresha makazi ya Askari Polisi hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Paramagamba Kabudi akizungumza jambo kwa Waziri wa Madini ,Mhe. Anjella Kairuki wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
Waziri wa Madini Mhe. Anjella Kairuki (katikati) akifurahia jambo na baadhi ya wabunge katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika ukumbi wa Bunge mapema leo.
(Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma)


Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA"

Post a Comment