title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018
YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege akijibu maswali ya wabunge, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Jiimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwaeleza jambo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la Chemba Mhe. Juma Nkamia, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.PICHA NA MAELEZO
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018"
Post a Comment