Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia.

Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia.
kiungo : Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia.

soma pia


Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia.

 Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma amekutana na wawezekaji kutoka Namibia waliokuja kuangalia uwezekano wa uwekejaji katika sekta ya uvuvi, wanataka kuwekeza kwenye uvuvi wa samaki wadogo wadogo na tayari washawekeka nchi nyingi iliwemo Kenya, aakitoa maelezo mafupi mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Nd. Mussa Aboud Jumbe alimueleza Mh. Waziri kuwa tayari washawapatia wawekejaji hao taarifa za awali walizozihitaji na mazungumzo yapo katika hatua nzuri, pia Nd. mussa alimueleza Mh. Rashid kuwa tayari wawekezaji hao wanashirikiana na Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO), ili ZAFICO iweze kusimamia shughuli zote watakazo endesha wawekejaji hao. kwa upande wake Mh. Rashid amewakaribisha wawekejaji hao na kuwaahidi kupata kila aina ya mashirikiano watakayo hitaji na kuwataka kufika ofisini kwake pale watakapoona panahitajika, pia aliwataka watendaji wa wizara kilimo kuhakikisha wanawapa kila aina ya mashirikiano watakayo hitaji wawekezaji hao 




Hivyo makala Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia.

yaani makala yote Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-wa-kilimo-zanzibar-mhe-rashid.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Kilimo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma Azungumza na Ujumbe wa Wakekezaji Kutika Namibia."

Post a Comment