WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA
kiungo : WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA

soma pia


WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na Rais wa Makampuni ya StarTimes Group, Bw. Xin Xing Pang na kufanya naye mazungumzo. Mazungumzo hayo ambayo yalilenga kuimarisha Ushirikiano uliopo baina ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na Kampuni ya Star Media (T) Ltd.
Katika mazungumzo hayo Mhe. Majaliwa alionyesha kufurahishwa kwake na Ushirikiano uliopo baina ya StarTimes na TBC na kuelezea matarajio yake juu ya Ushirikiano huo. “Nina matarajio makubwa sana na Ushirikiano huu kwa sababu kupitia Ushirikiano huu TBC itaimarika zaidi na kuwa na teknolojia bora zaidi”.
Rais wa StarTimes, Bw. Pang alifika nchini kwa ajili ya kusainiana Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Utiaji saini huo ulishuhudiwa na Waziri mwenye dhamana ya Habari Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye naye pia aliongelea upande wa Wizara anayoisimamia, “Sasa kwa upande wetu kama Wizara ni wajibu wetu kuhakikisha yote tuliyokubaliana yanatekelezwa”.
Naye Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania Prof Ayoub Rioba ambaye ndiye Mwenyekiti wa bodi ya Ubia huo alisema kuwa baada ya Makubaliano hayo sasa utekelezaji utaanza mara moja na kuongeza ufanisi zaidi.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni  ya StarTimes Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times Group,Zhang Ye  na kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited, Juma Suluhu Sharobaro.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-akutana-na-rais-wa-kampuni_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA"

Post a Comment