title : Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi
kiungo : Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi
Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi
Mkuu wa Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Yussuf Haji Makame akitoa elimu kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) namna saratani hiyo inavyoathiri katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar.Waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar.
Mwandishi wa TIFU TV akiuliza masuala katika Mafunzo hayo.
Mfanyakazi kutoka Wizara ya Afya Zanzibar Abdulrahman Muhamed Saleh akijibu masuala ya waandishi wa habari (Picha na Abdalla Omar Habari – Maelezo).
Hivyo makala Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi
yaani makala yote Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wanahabari-wapatiwa-elimu-ya-saratani.html
0 Response to "Wanahabari wapatiwa elimu ya Saratani ya Mlango wa kizazi"
Post a Comment