title : WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
kiungo : WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
Muuguzi wa kituo cha Afya Madaba wilayani Songea Ponsiana Haule akimpatia chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Madaba Day wilayani Songea Happines Kinyunyu siku ya kwanza ya uzinduzi wa chanjo hiyo.
Mganga mkuu wa halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma Janeth Makoye akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha 1 hadi 3 wa shule ya sekondari Madaba Day ikiwa ni juhudi za kuwashawishgi wanafunzi hao kukubali kupewa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi, kufuatia mgomo wa wanafunzi hao baada ya kuelezwa na wazazi wao wasikubali kupatiwa chanjo hiyo baada ya kiongozi mmoja wa dini akiwa katika ibada ya Jumapili mwishoni mwa wiki kuwataka wazazi wasikubali watoto wao kupatiwa chanjo hiyo.
Muuguzi wa kituo cha Afya Madaba wilayani Songea Ponsiana Haule akimpatia chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Madaba Day wilayani Songea Happines Kinyunyu siku ya kwanza ya uzinduzi wa chjanjo hiyo.PICHA NA MUHIDIN AMRI
Hivyo makala WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
yaani makala yote WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wanafunzi-waelemishwa-kuhusu-chanjo-ya.html
0 Response to "WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI"
Post a Comment