title : WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI.
kiungo : WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI.
WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI.
Wakulima wa zao la korosho wilaya ya Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wamelalamikia kitendo cha kampuni ya JOPHULO LIMITED kutowalipa fedha zao zenye thamani zaidi ya Shilingi bilioni 3 tangu kufanyika kwa mnada wa 11 Disemba mwaka jana . Wakizungumza na Ruvuma Tv , wakulima hao wanasema hali hiyo inawafanya kushindwa kujipanga na msimu mpya wa kilimo ambapo wanatumia nafasi hii kuomba serikali kuingilia kati sakata hilo.Hivyo makala WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI.
yaani makala yote WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wakulima-wa-korosho-tandahimba-waidai.html
0 Response to "WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAIDAI KAMPUNI YA JOPHULO LIMITED ZAIDI YA BILIONI 3, WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI."
Post a Comment