URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA

URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA
kiungo : URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA

soma pia


URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA

*Balozi wa Wang Ke aongoza Jumuiya ya marafiki wa China ,Tanzania kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa ujenzi wa reli ya Tazara


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

 SERIKALI ya Tanzania imeungana na Jamhuri ya Watu wa China katika kumbukumbu ya vifo vya Wachina 70 waliofarika wakati wa ujenzi wa reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).

Watanzania waliongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Kikanda na Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustino Mahiga huku ikiwakilishwa na Balozi wao nchini, Wang Ke. Kumbukumbu hiyo, imeandaliwa na Jumuia ya Marafiki wa Tanzania na China ambayo Mwenyekiti wake Dk.Salim Salim na Katibu wake ni Joseph Kahama.

Kabla ya kuweka mashada kwenye makaburi kwenye makaburi ya wachina hao ambao wengi wao ni wataalamu na wahandisi katika ujenzi wa reli, ilitolewa historia fupi ya vifo vyao.

Akizungumza baada ya kuweka mashada, Balozi Mahiga alisema ujenzi wa reli hiyo ulithibitisha urafiki wa kutoka moyoni kati ya nchi hizo mbili na kufafanua ujenzi wake ulifungua milango kwa China kujenga viwanda vingine kama UFI na Kiwanda cha Nguo cha Urafiki."Wakati wa ujenzi huu damu zilimwagika, wachina wamepoteza maisha na wengine wamebaki na ulemavu wa kudumu...hivyo urafiki wetu sisi na China ni wa damu," amesema.

Naye, Balozi Wang amesema nusu ya karne iliyopita, kupitia ombi la Rais wa Tanzania, Julius Nyerere na Rais wa Zambia, Kenneth Kaunda, viongozi wa kizazi cha China, Mwenyekiti Mao Zedong na Waziri Mkuu, Zhou Enlai walifanya maamuzi ya kimkakati na kihistoria kusaidia ujenzi wa TAZARA.
 Mnara wa Makaburi ya Wachina waliokuwa wakijenga Reli ya Tazara  ambao walifariki wakati wa ujenzi wa reli hiyo miaka zaidi ya 40 iliyopita.
 Waziri wa Mambo ya Nje Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi  Agustine Mahiga akitoa heshima  na Balozi wa China Nchini Tanzania, Wang Ke, kwenye Mnara wa makaburi ya Wachina waliofkuja kutengeneza Reli ya Tazara
 Waziri wa Mambo ya Nje Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi  Agustine Mahiga akiwa na Balozi wa China Nchini Tanzania, Wang Ke, wakiongoza kuweka mashada ya maua kwenye moja ya kaburi la wakandarasi waliofika nchini kujenga reli ya Tazara
 Waziri wa Mambo ya Nje Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi  Agustine Mahiga  akihutubia Viongozi na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofika katika sherehe ya kitamaduni ya watu wa china ya kuwakumbuka mafundi waliojenga reli ya Tazara.
  Balozi wa China Nchini Tanzania, Wang Ke, akihutubia na kutoa historia fupi ya ushirikiano wa Tanzania na China ulivyoasisiwa na Mwalimu Nyerere.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA

yaani makala yote URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/urafiki-wa-tanzaniachina-ni-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "URAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA"

Post a Comment