title : TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA
kiungo : TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA
Jaji wa Mahakama Kuu, Agnes Mgeyekwa akipokea ua kutoka kwa afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Christina Binali kufuatia kuteuliwa kushika wadhifa huo. Mgeyekwa kabla ya kuteuliwa alikuwa Katibu Msaidizi wa Tume.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Casmir Kyuki akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania.
Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe Agnes Mgeyekwa akitoa neno kwa watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Khalist Luanda akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu Tanzania
Naibu Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Asangye Bangu akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu. Bangu ni mume wa mhe. Mgeyekwa
Familia ya mhe. Jaji Agnes Mgeyekwa
Watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakiwa katika picha ya pamoja na mhe. Jaji Agnes Mgeyekwa
Hivyo makala TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA
yaani makala yote TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/tume-ya-kurekebisha-sheria-tanzania.html
0 Response to "TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA"
Post a Comment