TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA

TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA
kiungo : TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA

soma pia


TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA

Serikali ya Watu wa China imetuma timu ya Wataalam wa Usanifu wa Majengo na ujenzi, kukagua na kujiridhisha na eneo lililotengwa na Serikali ya Mkoa wa Kagera kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Kisasa cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kinachotarajiwa kujengwa  kwa ufadhili wa Serikali ya Watu China, Mkoani Kagera katika Kijiji cha Burugo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.

Timu hiyo ya Wataalamu kutoka katika Kampuni ya ujenzi ya “China Qiyuan Enginering Coorparation” ikiongozwa na Bw. Fang Ke Feng  walimueleza Mkuu wa Mkoa Kagera, Meja Jenerali mstaafu, Salim Kijuu juu ya ujuo wao huo, Ofisini kwake walipofika kumsalimia kuwa wamekuja kuona eneo la chuo cha VETA kitakapojengwa ili waweze kuchora michoro ya majengo inayoendana na eneo husika.

Baada ya kufika katika eneo la Burugo kitakapojengwa Chuo cha VETA, Wataalam hao waliridhishwa na eneo hilo na kusema kuwa ni eneo zuri linalofaa kwa ujenzi na michoro wanayotarajia kuichora itaendana na eneo hilo.
“Tumeona eneo ni zuri sana, Serikali ya Mkoa imefanya kazi yake ya kufikisha miundombinu ya umeme na barabara katika eneo la ujenzi, pia tumeridhika na juhudi zinazoendelea kufanyika ili kuhakikisha maji yanapatikana katika eneo hili na jambo lakufurahisha Ziwa Victoria lipo karibu sana kwa upatikanaji wa maji katika ujenzi,” Alieleza Bw. Fang Ke Feng.

Vilevile kiongozi wa Timu hiyo ya wataalamu kutoka Nchini China Bw. Fang Ke Feng alisema kuwa baada ya kuona eneo husika sasa itachukua muda wa miezi miwili kabla ya ujenzi kuanza kutoka sasa ambapo watasanifu  michoro ya majengo na kuiwasilisha Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ili iidhinishwe na ujenzi utaanza mara moja.
Mkuu wa Mkoa Kagera, Meja Jenerali mstaafu, Salim Kijuu (katikati) akiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Wataalam wa Usanifu wa Majengo na ujenzi kutoka Kampuni ya ujenzi ya “China Qiyuan Enginering Coorparation” ikiongozwa na Bw. Fang Ke Feng.

Kaimu Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Enock Kayani alisema kuwa ujenzi wa chuo hicho utagharimu jumla ya Shilingi bilioni 22.4 pia katika awamu ya kwanza  chuo kitadahili wanafunzi 400 na awamu ya pili wanafunzi 400 na kukamilisha jumla ya wanafunzi 800 mara baada ya chuo hicho kuwa kimekamilika.
Mkuu wa Mkoa Kagera, Meja Jenerali mstaafu, Salim Kijuu na ujumbe wake wakiangalia michoro ya namna ujenzi huo utakavyokuwa kuwa kupitia laptop.


Hivyo makala TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA

yaani makala yote TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/timu-ya-wataalam-wa-ujenzi-kutoka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA"

Post a Comment