title : BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO
kiungo : BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO
BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO
Mchezo kati ya Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania na taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda zilizopo nchini ukiendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni jijini Dar es salaam. Taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda ilishinda bao 2 kwa bila dhidi ya Wafanyakazi wa Benki UBA.
Kikosi cha Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja. Wafanyakazi hao wamecheza mechi ya kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda zilizopo nchini. Uganda ilishinda kwa mabao 2 dhidi ya UBA (Tanzania) 0. Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni jijini Dar es salaam.
Hivyo makala BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO
yaani makala yote BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/benki-ya-uba-yaendeleza-ujirani-mwema_9.html
0 Response to "BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO"
Post a Comment