title : TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU
kiungo : TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU
TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jacqueline Ngonyani Msongozi, amewata wazazi kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi pamoja watoto waliochini ya umri wa miaka 18 ili wachukuliwe hatua.
“ Tatizo la mimba za utotoni kwa wilaya yetu ya Tunduru ni tatizo sugu, Ninawaombeni wanawake wenzangu kwa kuwa sasa tumefika mahari tunajitambua na kwa kuwa tumefika mahali nasisi tunataka tutambulike tusimamie watoto wetu ipasanyo ili watoto hawa wawe katika makuzi na malezi mazuri , Kale kamchezo waache ”
Kwa undani wa habari hii tizama video yake hapo chini.
Hivyo makala TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU
yaani makala yote TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/tatizo-sugu-la-mimba-za-utotoni-kwa.html
0 Response to "TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU"
Post a Comment