title : TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY.
kiungo : TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY.
TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY.
Misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki akiwemo Balozi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzani Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Modest Mero (hayupo pichani)
Picha ya kumbukumbu ya Mzee Wilfredy Mwingira enzi ya uhai wake.
Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika na familia katika misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York
Watatu toka kushoto ni Balozi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzani Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Modest Mero akifuatilia misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York
Hivyo makala TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY.
yaani makala yote TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/taswira-ya-misa-ya-kumuombea-mzee.html
0 Response to "TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE WILFREDY MWINGIRA NEW YORK CITY."
Post a Comment