title : SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI
kiungo : SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI
SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe. Kamlepo kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Ndg. Thomas Makiwa. PICHA NA OFISI YA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI
yaani makala yote SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/spika-ndugai-atembelewa-na-wakurugenzi.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI"
Post a Comment