title : RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR.
kiungo : RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR.
RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda leo amepokea Msada wa vyakula, Sukari, Mafuta, magodoro mito na mashuka kwaajili ya kusaidia wahanga wa mafuriko zaidi ya 600 mkoani Dar es Salaam.
Msaada huo umetolewa na Taasisi mbili Za Miraj Islamic center Tanzania, na Abdullah Aid Tanzania
Amema mafuriko yapo ya aina mbili wapo wa mabondeni na nyingine wale ambao nyumba zao zimeathirika na mto msimbazi wote watapata misaada hiyo.
Hata hivyo Makonda amesema Mkoa umeandaa mkakati wa kulipatia Suruhisho la kudumu tatizo la Mafuriko katika katika mkoa huo.
Amesema mkoa umemteuwa Mwenyekiti wa Wenyeviti ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ilala Ubaya Chuma kuratibu zoezi la Kagawa vyakula na magodoro kwa familia zote na kuakikisha zote zinapata kupitia wenyeviti wa Mitaa ambapo atakuwa anashirikiana na Taasisi hizo za dini.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Miraji Islamic Center Abdalah Seleman amempongeza Mkuu wa Mkoa kwa kukubali kupokea Masada huo ili kuwasaidia wahanga wa mafuriko na
na amempongeza Rais John Magufuli kudumisha amani katika nchini na kushirikiana na viongozi wa dini.
Amesema taasisi ya Miraj Islamic Center inafanya kazi na taasisi mbalimbali pia ina andaa vijana kwa kuwapatia elimu zote, na inashirikiana na serikali katika mambo kama hayo.
Hivyo makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR.
yaani makala yote RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rc-makonda-apokea-msaada-kwaajili-ya.html
0 Response to "RC MAKONDA APOKEA MSAADA KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR."
Post a Comment