title : Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7
kiungo : Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7
Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7
Na.Vero Ignatus ,Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pohn Magufuli
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa nyumba za polisi na
vituo vya polisi Jijini Arusha.
Akizungumza na waandishi wa
habari Kamanda wa polisi jijini hapa DCP Charles Mkumbo amesema kuwa
kutakuwa na uzinduzi wa vituo viwili cha Utalii na Diplomasia na kingine
ni Kituo cha daraja la kati kilichopo Murieti Jijini Arusha.
Kamanda Mkumbo amesema kuwa kutakuwepo pia na maonyesho mbalimbali ya
Jeshi la Polisi linavyofanya kazi za kuwahudumia wananchi ambapo
maonesho hayo yatafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid .
Amewataka wananchi kutokuwa na hofu kwani hali ya usalama Jijini hapa
umeimarishwa na amewaomba wajitokeze kwa wingi katika sherehe hizo.
Kituo chaPolisi cha Utalii na Diplomasia kinachotarajiwa kuzinduliwa April 7 Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog.
Baadhi ya Nyumba za Polisi zinazotarajiwa kuzinduliwa na Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli
Hivyo makala Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7
yaani makala yote Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-magufuli-kuzindua-nyumba-za-polisi_5.html
0 Response to "Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7"
Post a Comment