title : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA
kiungo : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA
RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China (hawapo pichani).(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA
yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dk-shein-akutana-na-ujumbe-wa.html
0 Response to "RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA"
Post a Comment