NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI
kiungo : NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

soma pia


NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
HATIMAYE yametimia, Droo ya Nusu Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imemalizika kupangwa mchana huu, kwa miamba ya soka barani humo kukutana uso kwa uso.
Real Madrid kutoka nchini Hispania itakuwa na kibarua cha kumenyana na Bayern Munich wakati Liverpool wao wakivaana na AS Roma.
Mkondo wa kwanza wa michezo hiyo inatarajiwa kupigwa kati ya April 24/25 wakati mkondo wa pili unatazamiwa kupigwa kati ya May 1/2mwaka huu.

Wakati huo huo Michuano ya UEFA Europa League, droo yake ya Nusu Fainali imemalizika mchana huu, kwa Arsenal ya Uingereza kuikabili Atletico Madrid ya Hispania na Olimpique de Marseille ya Ufaransa kuchuana na FC Salzburg.


Hivyo makala NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

yaani makala yote NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/nusu-fainali-ya-ligi-ya-mabingwa-barani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI"

Post a Comment