MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
kiungo : MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

soma pia


MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

 
Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu majengo na ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo Mkongwe Anthony Almeida (wa pili kushoto) alivyokuwa akitumia enzi za kufanya kazi. Hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Aprili mwishoni mwa wiki 2018. Pamoja nao (kushoto) ni Mkuu wa Idara ya Usanifu Majengo wa ARU, Dkt. Ombeni Swai na Mkuu wa Idara ya Mazingira ya Ndani ya Nyumba wa ARU, Dkt. Shubira Kalugila. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

Msanifu Majengo Mkongwe Anthony Almeida akimshirikisha jambo Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa ARU)Profesa Livin Mosha wakati wa hafla ya kupokea msaada wa vitabu hivyo.
Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU)Profesa Livin Mosha na Dkt. Kalugila wakiondoka na vitabu hivyo kwa ajili ya matumizi ya Chuo Kikuu Ardhi.
Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akimshukuru Msanifu Majengo Mkongwe Anthony Almeida baada wakati wa hafla ya kupokea sehemu ya vitabu vya usanifu majengo na ujenzi alivyokuwa akitumia enzi za kufanya kazi. Hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam Aprili 20 2018.  


Hivyo makala MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/msanifu-mkongwe-aacha-urithi-wa-maarifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM"

Post a Comment