Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba

Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba
kiungo : Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba

soma pia


Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba

 Mdhamini wa Mamlaka ya mapato TRA Tawi la Pemba, Habibu  Saleh Sultan, akimkaribisha Ofisa Mdhamini Wizara ya Fedha Pemba, Ibrahim Saleh Juma , kufunguwa mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani humo juu ya ukusanyaji wa mapato uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba.

Ofisa Mdhami wizara ya Fedha Pemba , Ibrahim Saleh Juma, akifunguwa mkutano kwa Wahasibu wa taasisii mbali mbali Kisiwani Pemba, juu ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali , ulioandaliwa na TRA na ZRB.


 Ofisa Elimu na huduma kwa walipakodi wa TRA Zanzibar, Abdalla Seif Abdalla, akitowa mada juu ya ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuyasalisha kwa wakati uanofaa, kwa wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba huko katika ukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba.
 Msaidizi Meneja wa  ZRB Pemba, Ali Omar Massoud,akitowa ufafanuzi juu ya masuala mbali mbali yalioulizwa na wahasibu huko katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake juu ya Kodi ya Zuwio.

Muhasibu wa Wizara ya Ujenzi, Mwasiliano na Usafirishaji Pemba, Abdulghan Abdalla Said, akiuliza swali juu ya kodi ya Zuwio kwa wakandarasi kutoka nje wanaokuja kufanyakazi Kisiwani Pemba , wakati mkataba wa kazi wamesaini Unguja.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.


Hivyo makala Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba

yaani makala yote Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mkutano-wa-wahasibu-wa-taasisi-mbali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa Wahasibu wa taasisi mbali mbali za Serikali wafanyika Pemba"

Post a Comment