MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR

MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR

soma pia


MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR

Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame akitoa maelezo kuhusiana na Mkutano na kumkaribisha Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo kuzungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa CUF kuhusiana na mwenendo na migogoro ndani ya Chama hicho Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na mwenendo na migogoro ndani ya Chama hicho Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini CUF Mussa Haji Kombo katikati akifafanua baadhi ya maswala mbalimbali ya Mwenendo na Migogoro ndani ya chama hicho kwa Waandishi wa Habari Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.kulia yake ni Kiongozi wa Ulinzi wa CUF Thney Juma na Kushoto ni Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO


Hivyo makala MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR

yaani makala yote MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mkutano-wa-chama-cha-wananchi-cuf-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA CHAMA CHA WANANCHI CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR"

Post a Comment