MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO

MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO
kiungo : MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO

soma pia


MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita atakuwa miongoni mwa watazamaji wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga.

Mchezo huo wa aina yake utachezwa leo saa 10 jioni katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Ofisa Habari Ofisi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam Christina Mwagala Meya huyo atakuwa miongoni mwa watazamaji wa mtanange huo mkali.

Kwa kawaida mechi ya Simba na Yanga huwa na watazamaji wengi wakiwemo viongozi mbalimbali wa Serikali na Wabunge,Ifahamike kuwa Mwita ni miongoni mwa maelfu ya mashabiki wa mpira wa miguu .

Katika mchezo huo Simba wanaingia uwanjani wakiwa wanaongoza ligi baada ya kujikusanyia pointi 59 ikicheza michezo 25 wakati Yanga wana pointi 48 wakiwa nafasi ya pili baada ya kucheza michezo 23.


Hivyo makala MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO

yaani makala yote MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/meya-jiji-la-dar-kushuhudia-mtanange-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO"

Post a Comment